Mabadiliko ya Tabianchi
Ujumbe kutoka kwa Katibu Mkuu

Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linataka uhifadhi wa mazingira kwa kuchukua hatua muafaka. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio  Guterres akiwa ziarani katika nchi zilizoko ukanda wa pasifiki anapaza sauti ya kile kinachopaswa kufanywa kwa ubia ili kulinda sayari dunia kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

Mauritania wapambana na mabadiliko ya tabianchi

siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano huo wa 26 wa nchi wanachama wa mabadiliko ya tabianchi, ambao hivi sasa unaendelea Glascow, Scotland, Mshauri Maalumu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudunia wakimbizi, UNHCR kuhusu Hatua dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi, Andrew Harper ametembelea Mauri

Sauti -
2'5"

Ukame wasababisha wanakijiji kula dungusi kakati nchini Madagascar

Wakati mkutano wa mabadiliko ya tabianchi ungali ukiendelea huko Glasgow, Scotland, ukame unazidi kushika kasi kusini mwa Madagascar na watu wakiingia mwaka wa tano bila ya mvua hali inayowalazimu wananchi kula dungusi kakati kwa kuwa ndio mmea pekee unaoota kwenye maeneo yao.  

04 Novemba 2021

Karibu kusikiliza jarida, leo ni siku ya kimataifa ya kupinga uonevu shuleni na mitandaoni ambapo UNESCO imetaka watoto kulindwa zaidi, WFP imetoa msaada kwa wananchi wa Madagascar wanaoishi katika ukame na hivyo kulazimika kula mmea wa Dungusi kakati.

Sauti -
13'18"