Mabadiliko ya Tabianchi
Ujumbe kutoka kwa Katibu Mkuu

Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linataka uhifadhi wa mazingira kwa kuchukua hatua muafaka. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio  Guterres akiwa ziarani katika nchi zilizoko ukanda wa pasifiki anapaza sauti ya kile kinachopaswa kufanywa kwa ubia ili kulinda sayari dunia kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

Uhakika wa chakula uko hatarini kutokana na atahri za mabadiliko ya tabianchi-IPCC

Ardhi ni rasilimali muhimu ambayo iko katika shinikizo kubwa kutoka kwa binadamu na mabadiliko ya tabia nchi , lakini pia inaweza kuwa sehemu ya suluhu ya changamoto hizo imesema ripoti ya jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi IPCC.

Sauti -
3'

Ardhi ni rasilimali iliyo katika shinikizo kubwa kutoka kwa binadamu na mabadiliko ya tabianchi:IPCC

Ardhi ni rasilimali muhimu ambayo iko katika shinikizo kubwa kutoka kwa binadamu na mabadiliko ya tabia nchi, lakini pia inaweza kuwa sehemu ya suluhu ya changamoto hizo imesema ripoti ya jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi IPCC.