Mabadiliko ya Tabianchi
Ujumbe kutoka kwa Katibu Mkuu

Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linataka uhifadhi wa mazingira kwa kuchukua hatua muafaka. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio  Guterres akiwa ziarani katika nchi zilizoko ukanda wa pasifiki anapaza sauti ya kile kinachopaswa kufanywa kwa ubia ili kulinda sayari dunia kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

Mabadiliko ya tabianchi yameathiri wote ikiwemo wafugaji- Bi Leina

Jamii za wafugaji ni kundi ambalo namna ya kujipatia kipato inategemea mifugo na mifugo inatagemea lishe ambayo uwepo wake hivi sasa unakumbwa na madhara ya mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -
3'25"