Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Habari Mpya

Kutoka kushoto: Dereva wa ambulensi akisafishwa baada ya kubeba watuhumiwa wa Ebola; Jökulsárlón Glacier Lagoon huko Iceland inazidi kuwa kutoka kwa barafu inayopungua
UN Photo.

Mwaka 2014-2016

Desemba mwaka 2013 ukifunga pazia katika kijiji cha Meliandou nchini Guinea, mtoto Emile Ouamouno alifariki. Hii ilikuwa ni pigo kubwa kwa familia yake lakini kifo hicho kilikuwa na athari zaidi baada ya Emile kutajwa kama mgonjwa wa mwanzo kabisa wa ,mlipuko mbaya zaidi wa Ebola kuwahi kushuhudiwa.

Sauti
3'59"
Kutoka kushoto: Watu wavuka Myanmar kuenda Cox's Bazar, kusini mashariki mwa Bangladesh; Walinda amani wanaoshirikiana na Misheni ya UN nchini Liberia watimisha azma yao; Mwanaharakati wa miaka 8 wa India Licypriya Kangujam akiwa COP25.
UN Photo.

Mwaka 2017-2019

Mwaka 2017 ulianza kwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuanza rasmi hatamu yake ya uongozi na kuahidi kuleta mabadiliko katika usawa wa kijinsia na kuzuia mizozo katika dunia yenye migawanyiko.

Sauti
2'47"
Kutoka kushoto: Malala Yousafzai anahudhuria hafla ya elimu katika Makao makuu ya UN; Watu watembea katika barabara za Port-au-Prince kufuatia tetemeko la ardhi la mwaka 2010 huko Haiti; Mlinda amani wa UN kwenye doria huko Kidal, Mali
UN Photo.

Mwaka 2010-2013

Muongo huu ulianza kwa simanzi ya janga kubwa nchini Haiti, ambapo tetemeko la ardhi la ukubwa wa  7.0 vipimo vya richa mnamo Januari 12 mwaka 2010.

Sauti
3'9"