Mataifa sita, baadhi yao kutoka sehemu ya Kusini ya Bahari ya Hindi, ikijumuisha Visiwa vya Comoros, Ufaransa, Kenya, Msumbiji, New Zealand na Ushelisheli yametiana sahihi maafikiano ya kutunza na kuhifadhi, kwa ushirika, mali ya asili ya samaki katika maeneo yao.