Mtoto mmoja mhamiaji hufariki dunia au kupotea kila siku, UN yataka ulinzi zaidi. Chonde chonde wasafiri pateni chanjo dhidi ya Surua imesisitiza WHO. Kuongeza ushindani wa SMEs ni muarobaini wa kufanikisha SDGs imeeleza Ripoti. Ripoti nyingine imesema familia nyingi za mzazi mmoja duniani zinaongozwa na wanawake. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limeteua muimbaji nyota wa nyimbo za injili Mercy Masika kuwa balozi.