Aozwa kwa lazima, akatoroka , nduguze wakamrejesha kwa nguvu kwa mumewe ambaye alimbaka, na kwa kushindwa kuvulia hilo akamchoma kisu mumewe na kumua, sasa Noura hassan kutoka Sudan anakailiwa na hukumu ya kifo, mashirika ya Umoja wa Mataifa, raia wa sudan na wanaharakati wa haki za wanawake na wasichana wanataka aruhusiwe kukata rufaa.