Kila nchi na kila mdau katika jamii ana jukumu la kuhakikisha ufisadi unatokomezwa, kwani athari zake hazichagui wala hazibagui, ume masikini au tajiri, umeendelea au unajikongoja. Unapora haki za elimu, maendeleo, afya, uhuru na hata kuchochea migogoro