Sajili
Kabrasha la Sauti
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto duniani, Millie Bobby Brown ametangazwa kuwa balozi mwema mpya wa Shirika la kuhudumia watoto UNICEF. Mtoto huyu wa umri wa miaka 14 anakuwa mtu mdogo zaidi kuwa na wadhifa huo wa balozi mwema wa UNICEF.