Hali ya sasa ya kutokuwa na usawa duniani, kwa njia moja au nyingine, imechochewa na utandawazi.
Ameyasema hayo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres,wakati akitoa mhadhara kuhusu aliyekuwa Katibu Mkuu wa pili wa umoja huo, DagHammaeskjold, ambaye aliaga dunia mwaka 1961.