Kuna dalili za mauaji ya kimbari katika mkoa wa Rakhine dhidi ya warohingya.Hayo yametamkwa na mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Mynamar, Yanghee Lee, wakati akilihurubia baraza la haki za binadamu jumatatu mjini Geneva