Sajili
Kabrasha la Sauti
Leo ni siku ya kimataifa ya kuelimisha jamii kuhusu watu wenye ualbino ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea mshikamano wake na watu wenye ualbino.