Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza wasiwasi wake juu ya vitisho vya hivi karibuni vya mauaji dhidi ya mtetezi wa haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemorkasia ya Congo, DRC na mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel, Dkt. Dennis Mukwege.