Baada ya maendeleo ya muda katika masuala ya uhakika wa chakula na lishe duniani, ushahidi unaonesha kuwa njaa inaendelea kuongezeka, imesema ripoti ya mwaka huu ya hali ya uhakika wa chakula na lishe duniani, SOFI, iliyochapishwa hii leo. Taarifa zaidi na Arnold Kayanda.