Sajili
Kabrasha la Sauti
Wawakilishi wa Rwanda kwenye mkutano wa unaotathmini hali ya wanawake unaoendelea mjini New York, Marekani wamesema tangu wanawake walipoanza kushirikishwa moja kwa moja katika shughuli za serikali, Rwanda imepiga hatua kubwa katika nyanja zote.