Mashirika ya Umoja wa Mataifa, likiwemo lile la uhamiaji IOM na lile la kuhudumia wakimbizi UNHCR, yameanza zowezi la usafirishaji wa wakimbizi 16,000 kuturudi makwako kupitia mpango wa wakimbizi kurudi kwa hiari, na kuanzisha shughuli za kimaendeleo ili kujikwamua na maisha.