Kufuatia kuanza kwa mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA74, jijini New York, Marekani, Katibu Mkuu wa umoja huo Antonio Guterres leo amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia matarajio yake ya vikao muhimu vya wiki ijayo ambapo pia amejibu maswali kadhaa kutoka kwa wanahabari hao.