Tabianchi na mazingira

Idadi ya waliokuwa na njaa 2018 ilipungua ingawa idadi ya nchi imeongezeka - ripoti

Idadi ya watu waliokabiliwa na uhaba wa chakula mwaka 2018 ilipungua hadi kufikia milioni 113 ikilinganishwa na watu milioni 124 mwaka uliotangulia wa 2017.