Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na vita dhidi ya virusi va Ukimwi, VVU na UKIMWI, UNAIDS imesema vita vya dunia ya kuhakikisha janga hilo lililokatili maisha ya mamilioni ya watu duniani linatokomezwa, ifikapo mwaka 2020 sasa inakwenda mrama.