Hatua katika kuziba pengo la usawa wa kijinsia zimekwama, na katika baadhi ya sehemu zinarudi nyuma, imesema ripoti ya shirika la kazi ulimwenguni, ILO kuhusu mtazamo wa wanawake kwenye sekta ya ajira ya mwaka 2018, ripoti ambayo imetolewa leo Alhamisi.