Migogoro ya kutumia silaha inawadhulumu watoto milioni 28, elimu kwa kuwaweka katika hali ya kubakwa, ukatili mwingine wa mapenzi, mashambulio ya kulengwa mashuleni na dhuluma zingine za haki za binadamu imeonya ripoti ya kimataifa ya shirika la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO iliyotolewa leo.