Kampeni ya #I Belong au #Miminiwa, ikitimiza miaka minne mwezi huu wa Novemba, Kamishna Mkuu wa wakimbizi duniani, Filippo Grandi ametaka serikali zichukue hatua za haraka kuhakikisha ifikapo mwaka 2024 tatizo la watu kutokuwa na utaifa linatokomezwa