Shambulio la kujitolea mhanga katika kituo cha kusajili wapiga kura katika mji mkuu wa Afghanistan, na kusababisha vivyo vya takriban watu 30 na wengine 50 kujeruhiwa , limelaaniwa na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Afghanistan, UNAMA.