Dunia inarudi nyuma katika masuala ya haki za binadamu na misingi yake inavurugwa kila upande wa dunia hii, ameonya Jumanne, afisa wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa,na kumhimiza kila mtu popote alipo kuonyesha azma ya kujitolea katika kulinda haki hizo.