Afrika

Maandishi ya nukta nundu ni muarobaini wa kujumusha kwenye  jamii wasioona na wenye uoni hafifu

Leo ni siku ya kimataifa ya maandishi ya nukta nundu ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa kutoona.

Somalia yasonga mbele, licha ya changamoto za kisiasa, kiuchumi na kiusalama- Haysom

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Haysom, leo amehutubia Baraza la Usalama la Umoja huo jijini New York, Marekani akitoa tathmini ya hali ya kisiasa, kiusalama na kiuchumi.

Kilio cha WFP kwa operesheni zake Sudan Kusini chaitikiwa na China

Huko nchini Sudan Kusini, mchango wa dola milioni 7 kutoka China kwa shirika la mpango wa chakula duniani, WFP utasaidia shirika hilo kununua vyakula kama vile mchele, maharagwe na vinginevyo kwa ajili ya mgao wa mlo kwa wanafunzi shuleni sambamba na kwa zaidi ya watu 126,000 kwenye maeneo yaliyokumbwa na mzozo na ukosefu wa chakula. 

Guterres alaani shambulio dhidi ya ofisi za UN Mogadishu

Katibu Mkuu wa Umoja wa  Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali shambulio dhidi ya jengo la umoja huo kwenye mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

Mtoto wa kwanza kwa mwaka 2019 azaliwa huko Fiji!

Heri ya mwaka mpya wa 2019 mfuatiliaji wa habari za Umoja wa Mataifa wakati huu ambapo chombo hicho kimeeleza kuwa takribani watoto 395, 072 watazaliwa siku hii ya kwanza yam waka.