Ni vipi kampuni tanzu ya @CRDBBankPlc #CRDBFoundation imeinua wanawake #Tanzania kiuchumi ikitekeleza Azimio la #Beijing la 1995? @assumpta_massoi amezungumza na 𝐓𝐮𝐥𝐥𝐲 𝐄𝐬𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐌𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚𝐩𝐚 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo aliposhiriki @UN_CSW #CSW69 pic.twitter.com/siQBX7tSSA

— Habari za UN (@HabarizaUN) April 3, 2025