🔴Je wewe unakula chakula cha moto?

"Dhana ya chakula cha moto huko #Gaza haipo kwa sasa" amesema Mwakilishi wa @WFP kwenye eneo linalokaliwa la Palestina @SamerWFP

🎯Kukiwa hakuna mafuta na maduka ya mikate miwili pekee yanayofanya kazi, WFP haiwezi kukidhi mahitaji ya familia https://t.co/zcI9poXD5o

— Habari za UN (@HabarizaUN) October 27, 2023