"Wenye teknolojia ya kusafisha maji ili yatumike tena waje #Musanze." Asema @AMpuhwe Naibu Meya wa Musanze nchini #Rwanda (Maendeleo ya Kiuchumi) akihojiwa na @assumpta_massoi kando ya #WaterConference #WaterAction #SDG6
— Habari za UN (@HabarizaUN) March 24, 2023
Video kwa urefu:➡️ https://t.co/sx3Qd7AYA0
Kwa ufupi: ⤵️ pic.twitter.com/SnO6d24FK9