Gaza

Kamishina Mkuu wa @UNRWA Philippe Lazzarini akizungumza na nchi wanachama amewaomba waliokata ufadhili kwa shirika hilo “Kubadili maamuzi yao hususan kwa mtazamo kwamba wafanyakazi waliodaiwa kushiriki uhalifu walifutwa kazi na uchunguzi unaendelea.”https://t.co/JQSUvrFDOl

— Habari za UN (@HabarizaUN) February 13, 2024