𝕂𝕀𝕁𝔸ℂℍ𝕆
Ni simulizi ya #FabienMwingwa mpiganaji wa zamani wa msituni #DRC kuhusu kilichomsukuma hadi kupigana dhidi ya serikali πŸ‡¨πŸ‡© na kisha kuamua kuweka silaha chini sasa askari wa zimamoto #UN #MONUSCO @ddrrr_cvr Goma. Amezungumza na @amatabata #unpeacekeeping pic.twitter.com/Os062sx5ZH

— Habari za UN (@HabarizaUN) March 25, 2022