𝐔𝐜𝐡𝐚𝐠𝐮𝐳𝐢 🗳️
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa #UNGA limechagua nchi 5 kuwa wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa muhula ya miaka miwili kuanzia tarehe 1 Januari 2025:
Nchi hizo ni
🇵🇰 Pakistan
🇸🇴 Somalia
🇵🇦 Panama
🇩🇰 Denmark
🇬🇷 Ugiriki@UN_PGA pic.twitter.com/4X5TFaWtY1

— Habari za UN (@HabarizaUN) June 6, 2024