Katika hali ya kawaida wakimbizi kutoka nchi tofauti na makabila tofauti wangalizozana lakini elimu ni jibu. Kwa vipi? Mwalimu Yahya Kato kutoka makazi ya wakimbizi ya Kyangwali nchini #Uganda anaelezea hapa ikiwa leo ni siku ya elimu duniani #InternationalDayofEducation @UNESCO pic.twitter.com/vl3jNHNV5i

— Habari za UN (@HabarizaUN) January 24, 2024