📍Kampala - Uganda
Katibu Mkuu wa #UN @antonioguterres akiwa #NAMSummitUg2024 aeleza nafasi ya Umoja huo wa nchi zisizofungamana na Upande wowote katika kusongesha dunia sasa.
🎯Amani msingi wa kunufaika na utajiri wa dunia.
🎯Watoa ahadi watekeleze.

🔗https://t.co/H2xzpFnGK0 pic.twitter.com/sNVsnrhiwb

— Habari za UN (@HabarizaUN) January 20, 2024