"Walichinja watu na vichwa vyao kuvinin'giniza," asema Nadine Sayiba Mpila Wakili kutoka #Goma 🇨🇩

➡️Fahamu ukatili alioufanya Ntabo Ntaberi Sheka al maaruf 'Sheka' huko #DRC 🇨🇩

➡️Haki imetendeka na saa yuko korokoroni shukrani kwa @MONUSCO @Trial @LWOB pic.twitter.com/2oSJ084RdB

— Habari za UN (@HabarizaUN) July 22, 2023