𝐁𝐮𝐫𝐢𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐞𝐭𝐮
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa @UN leo kumefanyika tukio la kukumbuka wafanyakazi 188 wa chombo hicho waliouawa mwaka 2023 pekee wakiwemo 135 watumishi wa @UNRWA waliouawa ukanda wa Gaza. pic.twitter.com/nbw8PVGYpS

— Habari za UN (@HabarizaUN) June 6, 2024