Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Je wafahamu vinavyotibua bayonuai?

Clara Makenya, Mwakilishi wa UNEP nchini Tanzania akihojiwa na UNIC Dar es salaam.
UNIC/Stella Vuzo
Clara Makenya, Mwakilishi wa UNEP nchini Tanzania akihojiwa na UNIC Dar es salaam.

Je wafahamu vinavyotibua bayonuai?

Tabianchi na mazingira

Muongo wa kurejesha bayonuai umezinduliwa rasmi mwezi huu wa Juni mwaka 2021 kwa lengo la kurekebisha kile ambacho mwanadamu amefanya kuharibu mazingira ya sayari dunia na vile vile kuchukua hatua kuepusha uharibifu. Je nini kinaharibu bayonuai? Lucy Igogo wa kituo cha habari cha  Umoja wa Mataifa UNIC jijini Dar es salaam nchini Tanzania amezungumza na Clara Makenya, Mwakilishi wa shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP nchini humo. Bi. Makenya anaanza kwa kuelezea chanzo cha muongo huo.