Dunia imerejea New York kwa UNGA76

Katibu Mkuu wa Umoja wa  Mataifa  Antonio Guterres akihutubia katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
UN Photo/Cia Pak
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akihutubia katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Rias wa Brazil Jair Messias Bolsonaro akihutubia katika Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
UN Photo/Cia Pak
Zuzana Čaputová Rais wa Jamhuri ya Slovakia akihutubia Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
UN Photo/Cia Pak
Askari polisi wkaitoa ulinzi kwa wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa Baraza Kuu
UN Photo/Loey Felipe
Itifaki za kupambana na janga la COVID-19 zinazingatiwa katika Makao Makuu ya UN huko New York.
UN Photo/Loey Felipe
Kikundi cha muziki kutoka Korea Kusini, BTS kimehudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
UN Photo/Loey Felipe
Mtangazaji wa ABC Juju Chang akiendesha mdahalo wa vijana na mabadiliko ya tabia nchi katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
UN Photo/Manuel Elías
Picha iliyopigwa kutokea angani  katika makao makuu ya UN huko NY unaonesha picha kubwa ya mita 11,000 za mraba (118,000 sq ft)
Valentin Flauraud for Saype