Miaka 10 ya Uhuru wa Sudan Kusini: Tamu na Shubiri

Wananchi wa Sudan Kusini wakishangilia uhuru wa nchi yao 9 Julai 2011.
UN Photo/Tim McKulka
Wananchi wa Sudan Kusini wakishangilia uhuru wa nchi yao 9 Julai 2011.
Wakimbizi wa ndani kutoka vituo vya kuwalinda raia (PoC site) mjini Juba, wakijificha kutokana na mapigano kati ya SPLA na SPLA-IO.
UN Photo/Eric Kanalstein
Waliokuwa askari watoto wakiwa wameachiliwa  Yambio Sudan, Kusini Febuary 2018
UNMISS/Isaac Billy
Watoto wakiwa katika kituo cha ulinzi wa raia huko Bentiu, Sudan Kusini katika picha hii ya mwaka 2014.
UN Photo/JC McIlwaine
Nyamilow Nangdor (kushoto) mama wa watoto wanne akiwa kwenye shamba darasa la kilimo cha mboga za majani huko Bentiu, Sudan Kusini.
© UNICEF/Gonzalez Farran
Picha hii ya tarehe 18 mwezi Aprili mwaka 2018, inaonesha paneli za sola zinazozalisha umeme wa kusukuma maji katika mtambo uliojengwa na UNICEF huko Yambio , SUdan Kusini.
© UNICEF/Sebastian Rich
Mafunzo ya kutengeneza wanasesere katika kituo cha lishe huko Yambio Sudan Kusini ili watoto waweze kucheza.
© UNICEF/Helene Sandbu Ryeng
Angures Buba (kulia) na mwenzake wakisikiliza matangazo ya shule kwa njia ya redio huko Sudan Kusini.
© UNICEF/Helene Sandbu Ryeng
Bathi Kuju akicheza na mwanae mdogo Gol katika kituo cha lishe huko Pibor, Sudan Kusini.
© UNICEF/Helene Sandbu Ryeng