Taswira ya vita na amani Yemen

Abdullah, mwenye umri wa miaka saba, amekuwa mkimbizi kutokana na vita vya Yemen vilivyodumu miaka mitano sasa.
© UNOCHA/Giles Clarke
Abdullah, mwenye umri wa miaka saba, amekuwa mkimbizi kutokana na vita vya Yemen vilivyodumu miaka mitano sasa.
Hend ana umri wa miaka kumi, na anatumai siku moja kuwa daktari.
© UNOCHA/Giles Clarke
Hala ana umri wa miaka 11, ni binti wa kwanza kati ya watano kwenye familia yao ambayo imejikuta wakimbizi wa ndani kutokana na vita Yemen.
© UNOCHA/Giles Clarke
Angam, mwenye umr wa miaka saba, hawezi kwenda shuleni kwa sababu familia yake haina uwezo.
© UNOCHA/Giles Clarke
Kamal ana umri wa miaka 35. Baba yake aliuawa nyumba yao iliposhambuliwa kwa bomu huko Hudaydah nchini Yemen.
© UNOCHA/Giles Clarke
Fatima ana umri wa miaka 45. Ni mama wa watoto 11, alikimbia nyumbani kwao miaka mitatu iliyopita kutokana na vita.
© UNOCHA/Giles Clarke
Fathi Abbas, alianguka na kuumiza uti wa mgongo na sasa hawezi tena kufanya kazi.
© UNOCHA/Giles Clarke