IDP Goods yaleta nuru kwa wakimbizi

Raia wa Cameroon waliofurushwa kwao kutokana na mashambulizi   kutoka kwa Boko Haram wanajaribu kutengenza bidhaa za ngozi ili wapate kipato.
UN Photo/Eskinder Debebe)
Raia wa Cameroon waliofurushwa kwao kutokana na mashambulizi kutoka kwa Boko Haram wanajaribu kutengenza bidhaa za ngozi ili wapate kipato.
Raia wa Camerooon wakitengeneza bidhaa za ngozi wakiwa ugenini
UN Photo/Eskinder Debebe)
Raia wa Cameroon walioathiriwa na mashambulio ya Boko Haram sasa wamefundishwa kutengeneza makubazi na bidhaa nyingine zitokanazo na ngozi ili angalau wapate kipato.
UN Photo/Eskinder Debebe)
Shirika la kiraia, liitwalo IDP Goods, limefundisha wakimbizi wa ndani Cameroon ambao wameathiriwa na mashambulizi ya Boko Haram  utengenezaji wa makubazi kama haya.
UN Photo/Eskinder Debebe)
Mwanzilishi wa shirika la kiraia la IDP Goods Charlie Wandji
UN Photo/Eskinder Debebe)
Asasi ya kiraia, IDP Goods ambayo inauza bidhaa za kuchongwa na wakimbizi wa ndani ilianzishwa mwaka 2016.
UN Photo/Eskinder Debebe)
Mmoja wa wakufunzi katika asasi ya kiraia ya IDP Goods.
UN Photo/Eskinder Debebe)
Mkufunzi akiwa na kitabu cha mwongozo wa mafunzo chenye lengo la kuepusha misimamo mikali
UN Photo/Eskinder Debebe)
Raia wa  Nigeria waliokimbia Cameroon kutokana na machafuko ya Boko Haram
UN Photo/Eskinder Debebe)