
Ufugaji bora ni ule wa kuhakikisha kuwa mifugo inatunzwa vyema na inakuwa na afya. Pichani ni wafugaji katika mkoa wa Cankuzo nchini Burundi wakishuhudia mifugo yao ikipatiwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa tauni ya wanyama au PPR ambao ulikuwa umetokea nchini humo mara ya kwanza mwaka 2017.
©FAO/Gustave Ntaraka

Mazao mbalimbali ikiwemo maembe na mawesi yakiuzwa baada ya mavuno bora huko Côte d'Ivoire.Mradi wa shirika la chakula na kilimo duniani, FAO kuhusu mbinu bora za kilimo na zinazojali mazingira unasaidia wakulima kujikwamua kimapato na pia kwa chakula .
©FAO/Laure-Sophie Schiettecatte