Kalenda zilizoshinda tuzo zatoa taswira ya hali ya hewa duniani

Jua likichomiza kutoka umbali wa mita 5000 nyuma ya mlima Iztaccihualt nchini Mexico
Picha na WMO/Miguel Angel Trejo Rangel
Jua likichomiza kutoka umbali wa mita 5000 nyuma ya mlima Iztaccihualt nchini Mexico
Upinde wa mvua juu ya ziwa Barmsee mjini Mittenwald , Ujerumani
Picha na WMO/Maximilian Ziegler
Machwewo kwenye hifadhi ya taifa ya Nyungwe nchini Rwanda
Picha na WMO/Cyril Ndegeya
Ziwa Boya hifadhi ya jimbo la British Colombia, nchini Canada, usiku wa manane
Picha na WMO/Jason Salisbury
Wingu la rafu likionekana kukaribia pwani ya kisiwa cha Gag nchini Croatia
Picha na WMO/Danijel Palčić
Mawio katika mlima Kimso, katika Jamhuri ya watu wa Korea
Picha na WMO/Kweonyeol Oh
Mnara wa jiwe uliofunikwa na jua wakati wa mawio katika mlima Kimso kwenye Jamhuri ya watu wa Korea
Picha na WMO/Gyuho Shin
Machweo nyuma ya daraja mjini Sai Tso kisiwani Hong Kong
Picha na WMO/Eddy Chan
Kimbunga kikisafiri na kupita katikati ya bahari ya Lubenice nchini Croatia
Picha na WMO/Ana Ricov