Kikosi cha askari wanawake kutoka Afrika Kusini wakilinda amani DRC

Askari mwanamke kutoka Afrika Kusini akiwa doriani huko DRC
MONUSCO
Askari mwanamke kutoka Afrika Kusini akiwa doriani huko DRC
Askari wanawake wanaolinda amani kutoka Afrika Kusini ambao wako chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko DRC wakiwa doriani Kivu Kaskazini.
MONUSCO
Walinda amani hawa wanawake kutoka Afrika Kusini walioko DRC wanaendesha doria pia mashambani ili kuhakikishia raia usalama
MONUSCO
Mmoja wa askari wanawake kutoka Afrika Kusini anayehudumu kwenye ujumbe wa kulinda amani wa UN huko DRC, MONUSCO akiwa lindoni
MONUSCO
Walinda amani wa MONUSCO kutoka Afrika Kusini wakiwa na raia wakati wa doria huko Kivu Kaskazini
MONUSCO
Mlinda amani wa kike kutoka Afrika Kusini akikagua mazingira yake kutoka kwenye kifaru huko DRC. Mlinda amani  huyu  yuko kwenye kikosi cha MONUSCO
MONUSCO
Kikosi cha askari wanawake kutoka Afrika Kusini kilichopo kwenye ujumbe wa MONUSCO wakati wa doria ya mguu huko Kivu Kaskazini
MONUSCO
Doria kutoka juu ya kifaru ikifanywa na walinda amani wa kike kutoka Afrika Kusini walio kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO
MONUSCO