Fahari ya Indonesia katika Ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa

Luteni wa kwanza Sigit Jatmiko, mmoja wa askari wa umoja wa Mataifa kutoka Indonesia kwenye UNAMID anazungumza na watoto katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya Abu Shouk wakati wa ziara yake ya kupiga doria.
UN Photo/Albert Gonzalez Farran
Luteni wa kwanza Sigit Jatmiko, mmoja wa askari wa umoja wa Mataifa kutoka Indonesia kwenye UNAMID anazungumza na watoto katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya Abu Shouk wakati wa ziara yake ya kupiga doria.
Kwa miongo sasa Indonesia imetoa mchango muhimu katika ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa, wakihudumu katika baadhi ya maeneo yenye changamoto kubwa ikiwemo jimbo la darfur Sudan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Sudan kusini. Wanaonekana hapa wak
Picha na UN/KAR
Miongoni mwa maelfu ya wanawake na wanaume wa Indonesia waliohudumua katika operesheni za ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa ni Rais wa zamani wan chi hiyo, Susilo Bambang Yudhoyono, ambaye mbali ya kuwa mlinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa , bwana Yudhoy
Picha na UN/Eskinder Debebe
Wajumbe wa kikosi cha Indonesia kwenye mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda Amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ujulikanao kama (MINUSCA), Ikiwa ni mwezi Agosti  2014, miongoni mwa vikosi vya kwanza kuwasili baada ya Baraza la Usalama kupiga kura
Picha na UN/Catianne Tijerina
Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara mjini Bangui , mji mkuu wa CAR mwezi Septemba mwaka 2014. Mradi huo wa ujenzi uliendeshwa na walinda Amani wa Indonesia kwa ushirikiano na wahandisi wa wizara ya ujenzi ya
Picha na UN/Catianne Tijerina
Wanaoonekana hapa ni wafanyakazi wa kampuni ya uhandisi ya Indonesia wanaohudumu kwenye mpango wa Umoja wa Mataifa wa kudumisha Amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(MONUSCO) wakikarabati daraja la Gada , lililopo kilometa 74 kutoka mji wa Dungu,
Picha na MONUSCO/CPL Hasanuddin
Kuteni Kanali Yenni Windarti mjumbe wa kikosi cha polisi cha Indonesia kwenye mpango wa UNAMID akizungumza na wanawake na watoto eneo la kuteka maji kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani ya Abu Shouk wakati wa diria ya asubuhi mjini El Fasher, Kaskazini mwa
Picha na UN/Albert González Farran
Mwezi Agosti 2015, kikosi cha Indonesia kilikabidhi pampu ya mkono ya maji kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani ya Al Riyad, Magharibi mwa Darfur. Miradi kama hiyo mara nyingi huendeshwa na walinda amani wa UNAMID kwa mkakati wao wenyewe wa kuwasaidia wahit
UN Photo/Muntasir Sharafdin
Kuanzia tarehe 31 Machi 2018, Indonesia imekuwa mchangiaji wa 8 mkubwa wa vikosi na polisi kwenye operesheni za ulinzi wa Amani za umoja wa Mataifa ikiwa na jumla ya wahudumu 2, 700 kwenye operesheni hizo. Pichani ni walinda Amani wa UNAMID kutoka  Indone
Picha na UN/Amin Ismail
Walinda amani wa Indonesia wanaohudumu  kwenye kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini  Lebanon (UNIFIL) wakiwa katika doria maeneo ya vijijini karibu na Taybe, Kusini mwa Lebanon, mwezi Julai 2009.
Picha na UN/Pasqual Gorriz
Timu ya wauguzi wa kikosi cha Indonesia kwenye mpango wa Umoja wa Mataifa UNFIL wakienda kutoa huduma kwenye moja ya nyumba katika Kijiji cha Rabb Tlettine, Kusini mwa Lebanon. (12 Oktoba 2012)
Picha na UNIFIL
Walinda amani wa Indonesia wanaohudumu  kwenye kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini  Lebanon (UNIFIL) wakiwa katika doria maeneo ya vijijini karibu na Taybe, Kusini mwa Lebanon, mwezi Julai 2009. Ikiwa na wahudumu zaidi ya 1,200 Indonesia ndio mchangiaji mk
Picha na UN/Pasqual Gorriz