Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi limesisitiza tena kwamba raia "hawapaswi kulengwa kwenye vita. Lazima walindiwe."
Maelfu ya watu wamelazimika kukimbia nyumba zao kwa sababu ya mapigano kati ya vikosi vya Israeli na wapiganaji wa Hezbollah, na sasa wanaishi katika makazi ya muda.
© UNHCR/Magnum Photos/Emin Ozme