Mamia ya waandishi wa habari kutoka kila pembe ya dunia wameripoti kutokea Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa; Baadhi waliweza kupata maeneo yenye mandhari ya kuvutia ya katikati mwa Manhattan jijini New York, Marekani ambapo ndipo yalipo Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
United Nations/Maria Renee Luque