Mashariki ya Kati

Jinamizi huko Gaza ni … janga la kibinadamu. Ni lazima tuchukue hatua sasa kutafuta njia ya kutoka kwenye ukatili huu, wa kutisha, na wenye uchungu utakaoishia kwenye uharibifu, kusaidia kumaliza maumivu na mateso, kusaidia kuponya walioathirika, na kusaidia kufungua njia ya amani, kwa suluhisho la serikali mbili ya Waisraeli na Wapalestina wanaoishi kwa amani na usalama.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akizungumza na waandishi wa Habari mjini New York Marekani.