Shule hii itawasaidia watoto wetu kuepuka mimba zisizotarajiwa na kuzurura mitaani:Jenty Elisa
Mpawa Umoja wa Mataifa la kulinda amani nchini Sudan Kusini UNMISS umeleta nuru kwa wananchi wa eneo la Mvolo jimbo la Equatorial Magharibi kwa kuwajengea shule na kituo cha polisi hatua ambayo wananchi wanasema etaepusha zahma nyingi kwa watoto wao. Evarist Mapes ana taarifa zaidi