Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linataka uhifadhi wa mazingira kwa kuchukua hatua muafaka. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres akiwa ziarani katika nchi zilizoko ukanda wa pasifiki anapaza sauti ya kile kinachopaswa kufanywa kwa ubia ili kulinda sayari dunia kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Mabadiliko ya Tabianchi
Dunia haitaangamia, lakini sisi ndio tutaangamia-Antonio Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amewaambia viongozi wa biashara katika Jukwaa la Uchumi Duniani, hii leo mjini Davos, Uswisi kwamba ikiwa mataifa makuu ya viwanda hayatapunguza uzalishaji wao wa gesi chafu basi ulimwengu uko mashakani katika enzi hii ya mabadiliko ya tabianchi.
FAO yasema tusipowadhibiti nzige wanaoikabilia Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limeonya kwamba nzige walioivamia Ethiopia, Kenya na Somalia sasa ni wimbi kubwa kuwahi kushuhudiwa hivi karibuni na lisipodhibitiwa kuna uwezekano wa kusambaa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki.
Tusipowadhibiti nzige wanaoikabilia Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa:FAO