Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linataka uhifadhi wa mazingira kwa kuchukua hatua muafaka. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres akiwa ziarani katika nchi zilizoko ukanda wa pasifiki anapaza sauti ya kile kinachopaswa kufanywa kwa ubia ili kulinda sayari dunia kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Mabadiliko ya Tabianchi
Mabadiliko ya Tabianchi
Ujumbe kutoka kwa Katibu Mkuu
Mabadiliko ya tabianchi ni moja ya vielelezo vya wakati wetu lakini pia ni moja ya vitisho vya kiafya duniani
Mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani, WHO, Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus leo amewasihi viongozi wa wa dunia kuilinda afya dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.
Ili kuachana na utegemezi wa bidhaa ni lazima kubadili mwelekeo:UNCTAD
Mabadiliko katika uzalishaji wa bidhaa ndiyo njia bora ya kukabiliana na changamoto zinazotokana na na mabadilliko ya tabia nchi kwenye nchi zinazoendelea kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Matafa UNCTAD. Jason Nyakundi anatupasha zaidi
Nchi zinazoendelea lazima zibadili mwelekeo kuacha utegemezi wa bidhaa:UNCTAD